|
- Pre GE2025 - CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 . . . - JamiiForums
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu
- Pre GE2025 - Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni . . .
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu
- Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums
Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ndani yake kulikuwa na kipengele cha "kukamilisha" mchakato wa katiba mpya, kilichofuata baada ya hapo ni Rais aliyenadi Ilani hiyo kupuuza kipengele hicho Kwa CCM ilani ni kipande cha karatasi tu
- Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums
Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri ============================================ Chama Cha Mapinduzi kimepitisha marekebisho matatu kwenye katiba yao Marekebisho hayo yaliyopitishwa ni pamoja na: 1
- Pre GE2025 - Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa . . . - JamiiForums
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Makao hayo makuu mapya, ambayo
- Kauli za mkuu wa nchi zinachangia na kuimaliza kabisa serikali ya CCM
Ukiangalia kwa jicho la tatu utajua namaanisha nini? Kila anaposimama na kusema anajikuta anaharibu hali ya hewa ya siasa za CCM Kwa sasa CCM imekufa kimebaki kikundi cha "machawa" kwa uchache Kuleni kulinga na urefu wa kamba zenu," kifo ni kifo tu, "chura kiziwi," watumishi wengine ni
- Kuna nini CCM? Kile kikundi cha hamasa kinacholipwa kodi za Wananchi . . .
Kuna nini CCM? Kile kikundi cha hamasa kinacholipwa kodi za Wananchi kumshangilia Mwenyekiti anapokuwaga kwenye ziara leo kilikuwa wapi?
- CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa . . .
Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa
|
|
|