|
- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
- Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa . . .
Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa Wao wanapanga CCM inapanga CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito Imepenya majaribio mengi Walitumia maafisa
- CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo . . .
CCM si chama tu Ni taasisi, ni historia, ni mfumo, ni falsafa, na ni utamaduni wa kisiasa uliozaa Tanzania tunayoijua leo Kuelewa CCM kunahitaji mtu kujifunza: historia yake, misingi yake, muundo wake, mafanikio na changamoto zake, zaidi ya maneno ya mitandaoni Ndiyo maana ni sahihi kusema: “CCM ni kina kirefu sana, na wengi hawaijui
- GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
- ccm - JamiiForums
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya
- PostGE2025 - CCM kubalini yaishe, mtamponza Mama Samia
CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala
- PostGE2025 - Hakutakuwa na CCM baada ya 9 December 2025
Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM madarakani Mimi sio nabii wala mtabiri ila hiki ninachowaambia nimekiona Kuna kitu kinaitwa
- GE2025 - Ushauri: Rais Samia ajiuzulu Uenyekiti abakie Rais ili CCM . . .
GE2025 Ushauri: Rais Samia ajiuzulu Uenyekiti abakie Rais ili CCM ijisafishe na Mzee Kikwete asimamishwe uanachama kwa muda kupisha usafi
|
|
|