|
- Pre GE2025 - CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 . . . - JamiiForums
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu
- Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums
Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ndani yake kulikuwa na kipengele cha "kukamilisha" mchakato wa katiba mpya, kilichofuata baada ya hapo ni Rais aliyenadi Ilani hiyo kupuuza kipengele hicho Kwa CCM ilani ni kipande cha karatasi tu
- Pre GE2025 - Dkt. Nchimbi: Ujenzi Jengo jipya la Makao Makuu ya CCM . . .
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM
- Pre GE2025 - CCM wafanya mabadiliko ya ratiba, uteuzi wa wagombea . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuutangazia umma kwamba baada ya mashauriano na wanachama wake, kutafakari na kupima kwa umakini ushauri huo, kimeamua kufanya marekebisho juu ya ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
- Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums
Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri ============================================ Chama Cha Mapinduzi kimepitisha marekebisho matatu kwenye katiba yao Marekebisho hayo yaliyopitishwa ni pamoja na: 1
- Pre GE2025 - Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa . . . - JamiiForums
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Makao hayo makuu mapya, ambayo
- Pre GE2025 - CCM yatangaza kuanza kwa mchakato wa uteuzi . . . - JamiiForums
Katiba ya CCM na Mchakato wa Uchaguzi Katika kuangalia katiba ya CCM, ni muhimu kujiuliza kwa nini hakuna muda maalum wa kuanza kutoa fomu za kugombea Hii inadhihirisha udhaifu katika mfumo wa chama na inaonyesha kwamba uamuzi wa kuendesha mchakato wa uchaguzi unaweza kutegemea matakwa ya viongozi badala ya kufuata taratibu zilizowekwa
- Pre GE2025 - Ila CCM tunachukiwa jamani! | JamiiForums
Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma Ni hatari Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya
|
|
|