|
- GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya . . .
105 7 (F) Kufikiria na kuteua majina ya wana CCM wasiozidi watatu kwa kila jimbo la uchaguzi, waliiomba nafasi ya ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi ili wakapigiwe kura za maon 91 6 (C) Kwa upande wa madiwani itafikiria na kuteua majina ya wana CCM lwasiozidi watatu kwa kila kata wadi waliiomba kugombea udiwani ili wakapigiwe kura za maoni
- GE2025 - Hatima ya watia nia CCM waliopenya, kuliwa kichwa kuwekwa . . .
CCM inatarajia kutangaza majina matatu ya wagombea ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata ndani kuanzia leo, baada ya kikao cha Kamati Kuu Julai 19, 2025 Mchujo umehusisha maelfu ya watia nia, huku viongozi wakisisitiza subira na kufuata taratibu rasmi
- GE2025 - Kura ya Maoni CCM Kufanyika Agosti 4, 2025 . . . - JamiiForums
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitafanya kura ya maoni kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika ngazi ya Kata Wadi na Majimbo kwa Tanzania Bara na Zanzibar Agosti 4, 2025 Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa ndani wa chama wa kupata wagombea wake kwa ajili ya Uchaguzi
- Hayati John Magufuli akiingia ofisi za chama - CCM . . . - JamiiForums
Hayati John Magufuli akiingia ofisi za chama - CCM kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea u - Rais kwa awamu ya pili mwaka 2020
- GE2025 - Rais Samia ajiuzulu uenyekiti wa CCM abakie rais ili CCM . . .
102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo: (12) Unapofika wakati wa Uchaguzi, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa itashughulikia mambo yafuatayo: (a) Kuteua jina la Mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, na majina mawili ya Wanachama watakaosimama katika uchaguzi wa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM
- GE2025 - Wagombea 174 wamechukua fomu za ubunge Kigoma
Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu watakaochuana kupata nafasi moja ya kugombea
- NI UTU, UJASIRI AU KUJIPANGA UPYA? - JamiiForums
Ameikosoa CCM kwa kupoteza mwelekeo wake wa mapinduzi Ameikosoa serikali kwa kutumia madaraka bila uadilifu na kwa kuacha misingi ya kuheshimu wananchi ️ Amegusia upendeleo katika uteuzi wa viongozi ️ Ameonya kuhusu serikali inayoendeshwa bila misingi ya haki na uwajibikaji ️ Inaonesha anasema ameona kero na machungu ya watu lakini
- GE2025 - Aliyepinga Mgombea Urais CCM aibuka: Mchakato wa kwenda . . .
- CCM hii inayoyumba kushindwa kufuata katiba, kanuni, tamaduni itaipeleka nchi yetu wapi? Mzee Dr Godrey Malisa anahoji wananachama wenzake zaidi ya milioni 10 mpo wapi, tuna rasilimali za kurudia mchakato huu wa mgombea wetu upya , na muda upo ili twende mbele kifua mbele kwa kuonesha ukomavu wa kurudia zoezi kwa njia sahihi ya kumpata
|
|
|