|
- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
- GE2025 - Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia . . . - JamiiForums
CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala Updates
- Tetesi: - GE2025 - Waliopenya tatu bora CCM kugombea . . . - JamiiForums
Kamati ya Siasa Mkoa na Kamati ya Maadili Taifa imepitisha wafuatao kugombea Ubunge Tarime mjini na vijijini Vikao vya Kamati Kuu vinatarajia kubariki Majina hayo ni yafuatayo na yamepewa namba jwa umuhimu wake Tarime mjini; 1 Esther Matiko 2 Jackson Kangoye 3 Michael Kembaki Reserve
- GE2025 - CCM, Msajili wa vyama vya siasa wanachekesha
CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025 Mchakato huo ulikuwa na dosari za msingi na kimantiki Wachambuzi na wapambe wa DOLA wanatumia historia
- GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya . . .
Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza rasmi CCM wanafanya mabadiliko kwenye katiba yao yao kwenye ibara ya 105 ibara ndogo 7 (F) na Ibara ya 91 6 (C) toleo la Mei Kabla ya marekebisho ibara hizo zilikuwa zinasomeka;
- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu Mindyou Monday at 5:06 PM ccm kamati kamati kuu kamati kuu ccm kutangazwa kuu majina ya wagombea saa watia nia ccm Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 1 2 3 4 5 6 …
- GE2025 - Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu
- GE2025 - Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya . . . - JamiiForums
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025
|
|
|