companydirectorylist.com  Global Business Directories and Company Directories
Search Business,Company,Industry :


Country Lists
USA Company Directories
Canada Business Lists
Australia Business Directories
France Company Lists
Italy Company Lists
Spain Company Directories
Switzerland Business Lists
Austria Company Directories
Belgium Business Directories
Hong Kong Company Lists
China Business Lists
Taiwan Company Lists
United Arab Emirates Company Directories


Industry Catalogs
USA Industry Directories














  • Pre GE2025 - Uchambuzi wa Kauli Mbiu ya CCM ya Uchaguzi . . . - JamiiForums
    Utawala Bora na Uwazi – CCM inajitambulisha kama chama kinachothamini uongozi wenye maadili, usimamizi mzuri wa rasilimali, na uwajibikaji kwa wananchi Kwa maana hii, CCM inasisitiza kuwa maendeleo hayawezi kuwa ya kweli bila kuthamini utu wa watu na kuhakikisha kuwa kila mmoja anashiriki na kufaidika
  • Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums
    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ajenda ya Katiba katika ilayani yake ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030, kikisema kuwa kinaamini kuwa misingi imara ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria ni muhimu katika kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa na amani na utulivu kama msingi mama wa shughuli za maendeleo
  • Pre GE2025 - Dkt. Nchimbi: Ujenzi Jengo jipya la Makao Makuu ya CCM . . .
    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Dkt
  • Pre GE2025 - CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 . . . - JamiiForums
    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ili kukagua maendeleo ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 na 19 Januari 2025
  • Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM . . .
    Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM
  • Pre GE2025 - DSM - Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM . . . - JamiiForums
    Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025 Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1 2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri
  • Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums
    Lakini vilevile tulipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha miaka minne- mpaka mwaka jana uliofanywa na serikali zetu mbili, tulifanya marekebisho madogo ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 na likawa toleo la 2025 na kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM bara
  • John Mongela asema vichaa watafundishwa adabu na vijana wa CCM
    Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM Sijui watashughulikiwa vipi, sad "Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana vichaa mmoja au wawili




Business Directories,Company Directories
Business Directories,Company Directories copyright ©2005-2012 
disclaimer