Hamisa Mobetto Opens Up About Diamond Platnumzs Silence on Sons . . . Hamisa Mobetto Addresses Diamond Platnumz's Absence During Son's Birthday Celebration Tanzanian entrepreneur and model Hamisa Mobetto has broken her silence on the absence of her ex-partner, Diamond Platnumz, during their son Dylan Abdul Naseeb's 6th birthday celebration on August 8th
Hamisa Mobetto Afunguka Kuhusu Diamond Kuichunia Birthday ya Mtoto Wao Pia aliulizwa kama bado Diamond anatoa matunzo kwa mtoto wao lakini Mobetto hakutaka kuweka wazi suala hilo, ikumbukwe kuwa tu baada ya Diamond kutoshare kwa namna yoyote ile birthday ya mtoto wake siku ya Agosti 8, mwaka huu Hamisa Mobetto alimfuta kwenye Bio ya Instagram katika page ya Dylan
Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond “Nadhani katika mtu mwenye uhakika zaidi kuhusu mtoto kuwa ni wake au sio wake ni Diamond, kwa sababu hata kabla sijapata mimba ya Dylan, nilishapata ujauzito wake mara tatu na bahati mbaya ukaharibika,” Hamisa responded to The Switch Team