Where We Dare To Talk Openly | JamiiForums Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao
Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa . . . Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu Hawa
JF roll call - JamiiForums Wakuu natumai wote ni wazima Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi Teko Modise nipoooo
Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika . . . Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge