- Ugonjwa wa Matende na Madhara yake (Elephantiasis)
Ugonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na tishu zilizo chini ya ngozi ya mwanadamu kuwa nene (thickening of skin and underlying tissue) Ugonjwa huu huathiri miguu, mikono, figo, korodani na kusababisha korodani kuvimba na kuwa kubwa sana Inakisiwa watu milioni 120 duniani wana maa
- FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA MATENDE, SABABU, DALILI NA MATIBABU.
Soma Makala za Elimu, afya, burudani, Updates,ushauri, na tiba za magonjwa Jiunge nasi kwa maarifa bora
- Matende - Wikipedia, kamusi elezo huru
Matende (kwa Kiingereza Elephantiasis, Lymphatic filariasis), ni ugonjwa unaosababisha kuvimba kwa viungo vya mwili hasa miguu na viungo vya uzazi Kuvimba huku kunasababishwa na mishipa ya limfu inayowaka na kutopitisha kiowevu cha limfu Ugonjwa unatokana na ambukizo la minyoo ya filaria unaoleta kuwaka kwa mishipa ya limfu Asili yake ni mara nyingi minyoo kimelea aina ya filaria Mifano
- WHO na Zanzibar zashirikiana kutokomeza ugonjwa wa matende
Huko Zanzibar Tanzania, shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO kanda ya AFrika, linashirikiana na serikali kukabili ugonjwa wa matende ambao ni miongoni mwa magonjwa ya kitropiki yaliyopuuzwa au NTDs
- UCHAMBUZI: Huu ndiyo umuhimu wa kingatiba ya matende, mabusha
Unajua kwamba mtu anapoonekana na dalili ya kuwa na busha au matende huwa ameishi na vimelea vya ugonjwa huo kwa zaidi ya miaka sita?
- Pastor N Matende Gamuchirai Kupona Official Video - YouTube
No description has been added to this video more
- News Single|Ministry of Health
Na WAF - Dar Es Salaam Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTD) kwa kushirikiana na wadau wa Research Triangle Institute (RTI) inatarajia kufanya zoezi la umezeshaji kingatiba dhidi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha au Ngirimaji kuanzia Tarehe 6 mpaka 12 mwezi Disemba mwaka 2023 katika Manispaa ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam kwa
- Magonjwa ya Matende na Mabusha – DW – 29. 11. 2018
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani WHO, takriban watu bilioni moja duniani kote wanaugua magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele, huku watu bilioni mbili wakiwa katika hatari ya kuyapata magonjwa
|