- Forbes: Orodha ya wanamuziki 10 wenye pesa Afrika 2022
Wizkid Ayodeji Ibrahim Balogun, almaarufu Wizkid, thamani yake, kulingana na orodha ya Forbes, ni $21 milioni (KSh 2 5 bilioni) Mnigeria huyo alipata ridhaa nyingi za balozi wa chapa na MTN Nigeria na GLO, ambazo zilimletea $240,000 milioni (KSh 28 8 trilioni)
- Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar
Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu kistarehe, Mora Resort zitahudhuriwa na mastaa wakubwa Afrika wakiwemo Davido, Rema, Fally Ipupa, WizKid
- Forbes Africa yataja wasanii 20 bora Afrika | JamiiForums
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 20 bora kutoka bara la Afrika Kwa mujibu wa jarida hilo, wasanii wa Afrika Magharibi na Kusini mwa Afrika wanaongoza katika orodha ya wasanii wakubwa barani humo huku Jarida hilo likitumia wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify na jumla ya kutazamwa
- celebrities - JamiiForums
most followed africans on instagram 2021 1-davido🇳🇬 20m 2-yemi alade🇳🇬 13 8m 3-diamond plantinunz🇹🇿 12 2m 4-tiwa savage🇳🇬12 4m 5-wizkid🇳🇬12 1m 6-don jassy🇳🇬???? 7-tecno🇳🇬 8 6m 8-olamide8m 9-shilole🇹🇿 7 6m 10vanessa mdee🇹🇿 7 2m
- Waafrika walioshinda Tuzo za BET 2024 | JamiiForums
Tuzo za BET zilianzishwa mwaka 2001 na mtandao wa Black Entertainment Television, zikilenga kusherehekea mafanikio ya wasanii weusi na watu wa makundi mengine ya wachache katika muziki, filamu, michezo, na shughuli za kijamii Hafla hii ya kila mwaka hupeperushwa moja kwa moja kupitia BET na
|