- Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea . . . - JamiiForums
Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali
- CCM mkiendelea kukaza shingo, hawatangoka viongozi tu, bali mpaka . . .
CCM mkiendelea kukaza shingo, hawatang'oka viongozi tu, bali mpaka chama kitakufa, hakuna atakayetaka kukisikia milele
- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
- GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
- CCM NI KINA KIREFU SANA – WENGI HAWAIJUI VIZURI (Kidogo kidogo . . .
CCM si chama tu Ni taasisi, ni historia, ni mfumo, ni falsafa, na ni utamaduni wa kisiasa uliozaa Tanzania tunayoijua leo Kuelewa CCM kunahitaji mtu kujifunza: historia yake, misingi yake, muundo wake, mafanikio na changamoto zake, zaidi ya maneno ya mitandaoni Ndiyo maana ni sahihi kusema: “CCM ni kina kirefu sana, na wengi hawaijui
- ccm - JamiiForums
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya
- Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa . . .
Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa Wao wanapanga CCM inapanga CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito Imepenya majaribio mengi Walitumia maafisa
- Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible
Nawaonea huruma sana Yaan ni ngumu sana kuwatetea hawa watu, roho na nafsi zinawasuta kila kukicha Tumefika pazuri sana
|