PostGE2025 - JamiiForums PostGE2025 Marioo asitisha kutoa wimbo wake mpya kisa maandamano, Amjibu Diamond katika wale kenge simo DuaZaMama Nov 8, 2025 katika kenge simo marioo
Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers . . . Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo Kaja na drama zake na kizuchu wake
Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa . . . Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa Diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao Sasa swali langu lipo hivi, je Diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri?
Diamond ahudhuria bunge kushuhudia Baba Levo akila kiapo Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo