copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ajenda ya Katiba katika ilayani yake ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030, kikisema kuwa kinaamini kuwa misingi imara ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria ni muhimu katika kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa na amani na utulivu kama msingi mama wa shughuli za maendeleo
Pre GE2025 - CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 . . . - JamiiForums Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ili kukagua maendeleo ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 na 19 Januari 2025
Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums Lakini vilevile tulipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha miaka minne- mpaka mwaka jana uliofanywa na serikali zetu mbili, tulifanya marekebisho madogo ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 na likawa toleo la 2025 na kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM bara
CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa . . . Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa
Pre GE2025 - Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025 30 ni . . . - JamiiForums Aidha, CCM inakubaliana na maudhui ya msingi ya Rasimu ya Dira 2050 Hivyo basi, Ilani hii ni nyenzo ya CCM ya kuanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Ndugu Mwenyekiti: Nieleze kidogo kuhusu mchakato wa kuandaa Ilani hii Sehemu kubwa ya maudhui ya Ilani hii yametokana na maoni ya wanachama wa CCM, wananchi na wadau mbalimbali
Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa ccm maslahi Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika Ni mkutano wenye agenda nyingi Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo matatu makubwa 1
Pre GE2025 - DSM - Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM . . . - JamiiForums Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025 Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1 2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri
Pre GE2025 - CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula . . . Tar 29 na 30 May 2025, kutakua na mkutano mkutano maalumu Taifa pale Dodoma, ili kujadili na kuipitisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo mgombea urais wa CCM Tanzania Bara na Visiwani watakabidhiwa ili kuinadi kwa wananchi kampeni za uchaguzi zitakapozinduliwa mwezi August 2025
CCM waanza kuogopa aibu iliowakuta CHAUMMA Mwanza . . . - JamiiForums Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo tarehe 5 6 2025 ili kuonesha kwamba wanakubalika na umma wakati si kweli
Pre GE2025 - Ila CCM tunachukiwa jamani! | Page 2 - JamiiForums Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana