copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo . . . CCM si chama tu Ni taasisi, ni historia, ni mfumo, ni falsafa, na ni utamaduni wa kisiasa uliozaa Tanzania tunayoijua leo Kuelewa CCM kunahitaji mtu kujifunza: historia yake, misingi yake, muundo wake, mafanikio na changamoto zake, zaidi ya maneno ya mitandaoni Ndiyo maana ni sahihi kusema: “CCM ni kina kirefu sana, na wengi hawaijui
GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa . . . Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa Wao wanapanga CCM inapanga CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito Imepenya majaribio mengi Walitumia maafisa
GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025 Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea . . . - JamiiForums Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali
Makala Elimishi: Kwanini JWTZ Kamwe Haliwezi Kupindua . . . - JamiiForums Kwa nini Jeshi la Tanzania haliwezi Kupindua Serikali Sababu ni ile ile moja ya kwanini CCM siku zote lazima ishinde uchaguzi mkuu wa Tanzania, sababu ya CCM kushinda, ni hii katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, ni katiba ya CCM, wakati huo chama kimeshika hatamu za kuongoza serikali, hivyo ni katiba ya mfumo wa chama kimoja
PostGE2025 - CCM kubalini yaishe, mtamponza Mama Samia CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala
PostGE2025 - CCM ni mpango wa Mungu | JamiiForums Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu Chini ya CCM
John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu . . . - JamiiForums Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA Akizungumza nje ya Mahakama