copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu . . . Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu Msanii wa lebo yake WCB Wasafi Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania
Diamond, freemason siri nje - JamiiForums Diamond akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason Stori: Shakoor Jongo na Erick Evarist SIRI imefichukua kuwa madai kwamba kichaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platnumz ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a k a Wajenzi Huru zilianza
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake Mwaka 2009, Diamond alikutana na Bwana Msafiri Peter maarufu kama Papaa Misifa ambae alikubali kumsaidia kimuziki na Kurecord wimbo wa kwanza ulioenda kwa jina la "Nenda kamwambie", wimbo ambao Diamond aliimba kwa uchungu huku akimuimbia mpenzi wake huyo aliyemuacha (Sarah Sadiki) kuelezea kiasi gani aliumia kwa yeye kumuacha kwake, na hapo
Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya . . . - JamiiForums Unaweza usimpende Diamond ila amejitahidi kuwatunza ndugu zake isipokuwa baba yake ndugu wa Diamond wanatunzwa,wanakula wanashiba,wanavaa vizuri Konde boy pia niliona picha yababa yako amevaa tshirt ya 5000 dadayako alikuwa amesuka nywele za 2000 Biblia iko wazi,asiyetunza wa kwao atenda dhambi kuliko asiyeamini
Wasanii wanachangia sana kuunadi ushoga | JamiiForums Kuna kijana mmoja ni shoga na kila event ya Diamond yupo na hata safari ya Nigeria kwenye harusi ya Jux alikuwepo huko Pia kuna yule mmoja mwembamba mrefu naye kila event za wasanii mashuhuri yupo na huvaa vivazi vya kike Hii haipo sawa hata kidogo
Tetesi: - Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa! Hatimaye! Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana
Imechukua miaka sita ya diamond kumtengeneza jux kuwa giant Africa Diamond Imemchukua Miaka 6 Kumtengeneza Jux kuwa Msanii Namba 2, Alianza 2019 Akambless na Sugua, 2023 Enjoy, 2024 Ololufe Mi, Zote Hits 2023 Akampeleka BK Arena RWANDA [emoji1206] Kwenye Trace Awards, 2025 Akachezea hela Nyingi Harusini Na Kuifanya Nigeria Ipoje Yowe [emoji2788] Now Anamvuta
Wasanii wanachangia sana kuunadi ushoga. Pamoja na Diamond Kuna kijana mmoja ni shoga na kila event ya Diamond yupo na hata safari ya Nigeria kwenye harusi ya Jux alikuwepo huko Pia kuna yule mmoja mwembamba mrefu naye kila event za wasanii mashuhuri yupo na huvaa vivazi vya kike Hii haipo sawa hata kidogo
BASATA nguo za Wema zilikuwa na shida gani na alikuwa club? Siku . . . Precious Diamond said: Wakuu, Hili limenishangaza, BASATA inakuwa kama vile mpo kwaajili ya kusumbua wasanii tu na kuwaona wanafeli kwa nguvu zote, yaani kwa miaka yote hii hiki ndio kikubwa Watanzania wanaona mnafanya
Mambo usiyoyajua kuhusu Freemason - JamiiForums Article C136 na Z729 zinamzuia mwanachama wa Freemason kujitangaza kwa kutumia ulimi wake na mwenye kiapo cha kujiunga na Freemasons kuna maneno tunasema nitanuku " Nikatwe ulimi wangu pale nitakapo sema siri za hema " hivyo hakuna mwanachama wa Freemason anaruhusiwa kujitambulisha hadharani yeye ni Freemasons bali mwanachama wa Freemason