copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT - JamiiForums Wanajanvi, ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani Je huu mfuko ni sawa na kununua hisa? Je unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante =========== UTT AMIS ilianzishwa mwaka 2013 kuchukua majukumu ya usimamizi wa Mifuko ya Uwekezaji wa pamoja
Elimu ya Ulinganisho wa Uwekezaji Kwenye Vipande vya UTT-AMIS na . . . Tangulizi Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya kupangisha vimekuwa maarufu kwa wawekezaji Uwekezaji huu miwili unatoa fursa tofauti zenye faida
Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza? Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1 UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and
Nina 40M ninunue hisa CRDB,NMB au niwekeze UTT? - JamiiForums Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo, Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Naomba kujuzwa zaidi kuhusu UTT - JamiiForums Habari wana jamvi Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt Jinsi inavyofanya kazi Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE Jinsi ya kupata faida na jinsi ya kutoa pesa [emoji116][emoji116][emoji870][emoji113][emoji870][emoji113]
Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha) UTT Asset Management and Investor Services PLC (UTT AMIS) is a leading fund management company in Tanzania, specializing in establishing and managing collective investment schemes Born from the Unit Trust of Tanzania (UTT), UTT AMIS is dedicated to fostering a savings culture by encouraging broad participation in unit ownership
Msaada kuhusu UTT , Treasury Bonds Bills na Fixed deposit accounts Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000 = , natanguliza shukran
Je, kuna tofauti kati ya bond fund na liquid ukwasi . . . - JamiiForums Habari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT Hizi bond fund na liquid ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko hela yako? Na hatifungani za benkii kuu na hizi za UTT zipi ni nzuri zaidi?