copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ndani yake kulikuwa na kipengele cha "kukamilisha" mchakato wa katiba mpya, kilichofuata baada ya hapo ni Rais aliyenadi Ilani hiyo kupuuza kipengele hicho Kwa CCM ilani ni kipande cha karatasi tu
Pre GE2025 - CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 . . . - JamiiForums Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu
Pre GE2025 - Uchambuzi wa Kauli Mbiu ya CCM ya Uchaguzi . . . - JamiiForums Kwa ujumla, "Kazi na Utu, Tunasonga Mbele" ni kauli mbiu inayoakisi dhamira ya CCM ya kuendeleza maendeleo yanayozingatia utu wa kila Mtanzania Kwa wana-CCM, inawataka kuendeleza utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii huku wakidumisha maadili ya utu na mshikamano wa kitaifa
Pre GE2025 - DSM - Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na . . . Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha
GE2025 - CCM: Marufuku wagombea kwenda na wapambe na msafara wa magari . . . Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa NEC Organaizesheni, Issa Haji Ussi kuhusu mwongozo wa na maelekezo kuhusu utaratibu wa uchukuaji
Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri ============================================ Chama Cha Mapinduzi kimepitisha marekebisho matatu kwenye katiba yao Marekebisho hayo yaliyopitishwa ni pamoja na: 1
GE2025 - Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya . . . Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo Aliyekuwa Mbunge wa viti Maalum Esther
CCM yalaani shambulio dhidi ya Padre Dkt. Charles Kitima YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT CHARLES KITIMA Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika
Pre GE2025 - Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu . . . - JamiiForums Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya