copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
GE2025 - Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia . . . - JamiiForums CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala Updates
Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa . . . Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa Wao wanapanga CCM inapanga CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito Imepenya majaribio mengi Walitumia maafisa
ccm - JamiiForums Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya
TANZIA - Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada . . . Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi
PostGE2025 - CCM kubalini yaishe, mtamponza Mama Samia CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala
Ushahidi: Jinsi CCM walivyoshinda uchaguzi kwa kishindo cha 98% Kwa bahati mbaya, CCM kwa kutaka sifa pamoja na kuwakomoa wasusiaji, wakaamua kuwaelekeza wasimamizi wa vituo kukuza kura ili kuuhadaa umma wa kimataifa na pia kujihadaa wao wenyewe kwamba wapigakura walijitokeza kwa wingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuonyesha kuwa mama anaupiga mwingi Nchi ya ovyo kabisa
GE2025 - Utaratibu uliotumiwa na CCM Kumpitisha Samia . . . - JamiiForums Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia! Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for any reason) Samia ameshindwa kumaliza term anayopigana kuichukua na hivyo Nchimbi (VP wake