copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea . . . - JamiiForums Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali
GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025 Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025
CCM NI KINA KIREFU SANA – WENGI HAWAIJUI VIZURI (Kidogo kidogo . . . CCM si chama tu Ni taasisi, ni historia, ni mfumo, ni falsafa, na ni utamaduni wa kisiasa uliozaa Tanzania tunayoijua leo Kuelewa CCM kunahitaji mtu kujifunza: historia yake, misingi yake, muundo wake, mafanikio na changamoto zake, zaidi ya maneno ya mitandaoni Ndiyo maana ni sahihi kusema: “CCM ni kina kirefu sana, na wengi hawaijui
ccm - JamiiForums Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya
Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa . . . Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa Wao wanapanga CCM inapanga CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito Imepenya majaribio mengi Walitumia maafisa
PostGE2025 - CCM kubalini yaishe, mtamponza Mama Samia CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala
PostGE2025 - Hakutakuwa na CCM baada ya 9 December 2025 Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM madarakani Mimi sio nabii wala mtabiri ila hiki ninachowaambia nimekiona Kuna kitu kinaitwa