copy and paste this google map to your website or blog!
Press copy button and paste into your blog or website.
(Please switch to 'HTML' mode when posting into your blog. Examples: WordPress Example, Blogger Example)
Where We Dare To Talk Openly | JamiiForums Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao
JF roll call - JamiiForums Wakuu natumai wote ni wazima Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi Teko Modise nipoooo
Dini mpya yaibuka Tanzania, Kumbukizi miaka 5 iliyopita mwana JF Likud . . . Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii naichukulia kama kumbukumbu maishani mwangu kwamba usiepende kukaa unapinga kila jambo Mwana JamiiForums Likud miaka takribani saba iliyopita aliwahi sema humu jukwaan kuwa watoto wa mwaka 2000 hawana dini kipindi hicho jina la Genz
Jukwaa la Elimu (Education Forum) - JamiiForums Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla Tatizo la elimu nchini ni kubwa
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi | JamiiForums Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege sato